Ni ndoto kwenye ujamaaTulichelewa sana; nasubiri siku ambayo watu watanunua majenereta yatanunuliwa kwa ajili ya mtu kujitakia mwenyewe siyo kwa ajili ya kukosa umeme. Safi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ndoto kwenye ujamaaTulichelewa sana; nasubiri siku ambayo watu watanunua majenereta yatanunuliwa kwa ajili ya mtu kujitakia mwenyewe siyo kwa ajili ya kukosa umeme. Safi sana.
Tanzania haijawahi kuwa na "utamaduni wa kutekana", kamwe.kwa utamaduni wetu sisi watanzania.
Kuna wengine hata ukiwauliza nini maana ya demokrasia hawawezi kutoa jibu sahihi!Sasa hapa umeandikaje ikiwa hakuna demokrasia? hahahaha utakuwa kichwani hauko sawa
Toka nje ya boksi halafu fikiri tena!Kwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?
Mkichagua ccm ndiyo mtapata maendereo!Maendeleo Hayana Chama
Tanzania haijawahi kuwa na "utamaduni wa kutekana", kamwe.
Swali lako halikuwa na uungwana wowote ndio maana nikakujibu hivyo. Sasa kama unataka tuwe waungwana, usiulize maswali ya kijinga tena.
Unakwenda kunishtaki kwa kosa gani? Sawa nenda kashtaki!Nawasilisha kwa MOD na mbele zaidi ya hapa nijue nani yuko sahihi na hatua muafaka zichukuliwe
Unakwenda kunishtaki kwa kosa gani? Sawa nenda kashtaki!
Unakwenda kunishtaki kwa kosa gani? Sawa nenda kashtaki!
Uongo mkuu huku kwetu mbona tunapeta tu.Yaani badilisheni hela zote zilizoko hazina kuwa mataruma ya reli,mabwawa, madaraja halafu muite ni maendeleo.
Chimbueni mafaili yote ya Nyerere ili mtimize ndoto zake Ila mjue mtaani hata mlo mmoja unataka kushindikana.
Kwa hiyo wewe unayefikiri nje ya boksi ni heri mchakato wa ujenzi wa bwawa ungesimama kwa vile MO katekwa?Toka nje ya boksi halafu fikiri tena!
Hufahamu historia.Tanzania haijawahi kuwa na "utamaduni wa kutekana", kamwe...
Eeeh, wewe usitishe watu bwana.Kosa lako utalifahamu muda muafaka, na ili iwe fundisho kwako kutumia lugha inayostahili mitandaoni
Halafu nakumbuka Bwawa la Aswan lilijengwa na USSR ya wakati ule! Hapo inabidi tufanye "due diligence" kujiridhisha.Kwenye form of tender (experience of the company)kuna kipengele kinataka, experience of similar nature under taken for the last five years)
hao waarab Mara ya mwisho kejenga dam ni mwaka 1970 baada ya miaka 48, kuna makampuni yanamejenga project kama hiyo mwaka huu.
Mbona kama vile kuna harufu ya rushwa tunaanza kuchimba tutawakamata tu.
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
Wakiacha kujishughulisha na mambo ambayo wakati wanaomba ridhaa ya uongozi hawakusema watajishughulisha nayo automatically hivi vijembe na dhihaka vitaisha tu vyenyewe. It's very simple as such.Kwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?
Yaani akili imeishia hapo tu, ebu jaribu kuipanua walau kidogo iende zaidi ya hapo. Never exposé your naivety.Hiyo yenyewe ya kutokupa uhuru wa kuwachagua uwatakao ni faida tosha..maana uhuru bila mipaka ni vurugu..umpe nchi kichaa kama lema..si tutauzwa hadi raia..we la msingi sema umepewa uhuru wa kuishi popote na kuoa wake wowote..kizuri zaidi amewapa hadi uhuru wa kuzaa utakavyo..
Fanya kazi ka ulizoea ujanja ujanja utalala nja liveYaani badilisheni hela zote zilizoko hazina kuwa mataruma ya reli,mabwawa, madaraja halafu muite ni maendeleo.
Chimbueni mafaili yote ya Nyerere ili mtimize ndoto zake Ila mjue mtaani hata mlo mmoja unataka kushindikana.
Naomba nikusahihishe mkuu! Fedha ya ujenzi wa SGR toka Dar - Morogoro haina mfadhili ni kodi yako alafu fedha ile haizidi ni kama Trillin 4 hivi na haijatoka kokote na hatutegemei kutoa kokote zaidi ya fedha zetu za ndani, Mchina tumeshindwana kwenye masharti yake Rais akaona aanze mwenyewe ndiyo akaja Standard Charted kutukopesha, Kipande cha Moro-Dodoma ni Trillio n 3 hivo kufanya jumla ya Trillion 7 toka Dar to Dodoma na mkataba wa hicho nkipande cha pili ushasainiwa tayari kabla ya Ctandard Charted kutupatia mkopo. Yarp Markez kama kawaida atashulikia hapo.Mradi wa SGR ni 7t, fedha za ndani imesemekana itakuwa 1t. Mkopo bado kutoka China, itategemea kama China watatoa. Ila wasipotoa hata kipande cha Dar-Moro itakuwa ngumu kukamilika.