MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Serikali inayoongozwa na jpm itakuwepo hadi 2025 na huu ndio ukweli mchungu. Kushindana na mtu ambaye kwa vyovyote vile humuwezi nafikiri ni kupoteza muda.Kukata pumzi ni pale mtakapoweza kuitoa serikali madarakani iwe kwa kura au kwa kupindua nje ya hapa tunaita kelele za chura.....Nyie ndio mliweka mashindano, saa hii naona mmekata pumzi. Ni kuteka tu.