Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za uvccm zinawaza matusi tu, hebu nunueni viongozi wengi wa upinzani mjifunze adabuDemokrasia mpelekee mumeo imbeciles walahi
Wewe unataka kiongozi umpendae au maendeleo?Not Yet Uhuru, yote anayofanya jiwe hayana faida kama hatuna uhuru wa kuwachagua viongozi tuwatakao.
HahahahUnlocked mind
Akikujibu nami niambie nije kumsomaUle mkopo wa ujenzi wa hilo bwawa umepatikana au umeandika kuwakoga wasiojitambua na kuua hii aibu ya sinema ya MO?
Hakuna serikali ya JPM sijui uozo gani , tunaitambua Serikali inayoongozwa na JPMKwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?
Hiyo yenyewe ya kutokupa uhuru wa kuwachagua uwatakao ni faida tosha..maana uhuru bila mipaka ni vurugu..umpe nchi kichaa kama lema..si tutauzwa hadi raia..we la msingi sema umepewa uhuru wa kuishi popote na kuoa wake wowote..kizuri zaidi amewapa hadi uhuru wa kuzaa utakavyo..Not Yet Uhuru, yote anayofanya jiwe hayana faida kama hatuna uhuru wa kuwachagua viongozi tuwatakao.
Na Chama hakina MaendeleoMaendeleo Hayana Chama
Mnasema mtakavyo mpaka mnatukana watu vya nguoni hiyo haitoshi kuwa demokrasia au mnataka kuachiwa mlale morogoro road kuanzia fire mpaka chalinze aah hiyo haiwezekani!Ujenzi unaanza lini ili tujipange kwenda kutafuta fursa
Zinatumika ela za ndani au mkopo?Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
ugomvi wa eneo la mo na stiegler's gorge mmeshaumalizaKampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
Kwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?