Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri


Mkuu nashukuru kwa kujitolea kunielewesha. Sasa fanya hivi, naomba kusanya taarifa vizuri kuhusu huo mradi ili nikihitaji maelezo ya ufafanuzi usipotelee hapo katikati. Mwanzo kabisa wa mradi wa SGR walisema Dar-Moro ni 1t na ni fedha za ndani.
 
Mkuu nashukuru kwa kujitolea kunielewesha. Sasa fanya hivi, naomba kusanya taarifa vizuri kuhusu huo mradi ili nikihitaji maelezo ya ufafanuzi usipotelee hapo katikati. Mwanzo kabisa wa mradi wa SGR walisema Dar-Moro ni 1t na ni fedha za ndani.
Mkuu narudia tena mradi wa SGR kutoka Dar mpaka Morogoro ni Trillion 4.3/= na kutoka Morogoro mpaka Dodoma - Makutopora ni Trillion 3.3 jumla kufanya ghalama za ujenzi toka Dar mpaka Dodoma ni Trillion 7.6.
Kazi kubwa iko Dar-Moro sababu ya ujenzi wa madaraja ya juu kama gerezani pale kama umepaona na Station kuu, pia eneo la Morogoro watapasua ile milima kujenga kama mahandaki reli itapita katikati ya milima yanii wanatoboa ile kama tundu.
 
Sasa hapa umeandikaje ikiwa hakuna demokrasia?
Democracy kwa tafsiri ya ufipa ni kutukana matusi ovyo, kuitisha maandamano yasiyo na tija yyt.Hiyo democracy isingekuwepo, hii jf kwa matusi ya humu ingekua imefungwa mda sana.
 
Maendeleo bila demokrasia ni sawa na kusema Tanzania tuna mbuzi milioni 50 wakati wanaokula nyama ya mbuzi hawazidi hata milioni 5, this is nonsense

Nawapongeza Wachaga wote ambao wameuweka ukabila pembeni na kuungana na JPM katika kujenga uchumi wa nchi. Kongole Mzee Mengi.
 
ONLY TIME WILL TELL US , CHEAPER THINGS HAVE GOT HIDDEN COST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…