Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

Wewe una chuki binafsi na mwendazake, January ni mwizi fulani tu hivi tangu uchaguzi wa 2015, hawezi kutuletea Watanzania maendeleo
 
AiSeee,hivi Jqnuari kachukua Uwaziri lini🤭😄
 
Swali lako la kwanza halina tija kwa sababu unadai kuwa hiyo subsidization ni upigaji.Kama ni upigaji hizo ni tuhuma na unapaswa kuweka ushahidi wako mezani ili kuthibitisha tuhuma hizo.
Dunia nzima ruzuku ni sehemu ya kupunguza makali ya maisha kwa wananchi kipindi hali ya maisha ni ngumu
 
Wewe una chuki binafsi na mwendazake, January ni mwizi fulani tu hivi tangu uchaguzi wa 2015, hawezi kutuletea Watanzania maendeleo
Nimchukie marehemu Ili iweje mkuu. Sina chuki na huyo cause hakuwahi kuathiri maisha yangu in any how. Nachokwambia ndio ukweli halisi.
 
Dunia nzima ruzuku ni sehemu ya kupunguza makali ya maisha kwa wananchi kipindi hali ya maisha ni ngumu
Sisi Tanzania chini ya uongozi uliotukuka wa chama tukufu cha Mapinduzi kipindi hiki kigumu tumelipia ndege tano cash na waziri mkuu ameshaagiza kuwa vitu vishushwe bei hata kama bei zimepanda kutokana na gharama za mafuta kupanda au kutokana na nguvu ya soko la dunia inavyoenda🐒🐒🐒🐒
 
..mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Gesi ya mtwara kabla haijachimbwa unakumbuka serikali ilisemaje?leo yako wapi? Fikria sasa hiyo gesi kwa sasa inaenda wapi
 
Hii ndiyo faida ya kuanzisha miradi mikubwa kwa kukurupuka...January ndiye anayetoa pesa mfukoni kwake.

Yawezekana priority ya sasa si hilo bwawa lenu la kufugia samaki who knows.


Priority ni kujenga madarasa sio…

Halafu utakuta unatumia pasi ya mkaa kukwepa gharama za umeme..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…