Watu hamuelewi na ni kwasababu Serikali imejengeka katika mfumo wa kuficha siri. Ukweli ni kwamba aliyefanya Bwawa la Nyerere lichelewe si Samia wala January wala Kalemani. Ni Mwendazake.
Narudia tena ni Mwendazake kwa ubahiri wake wa kukupa kampuni isiyo na uwezo katika kutekeleza baadhi ya kazi.
Hiki kitu msitarajie kwamba kitakuja kisemwa hadharani na hata kama kitasemwa je mtakiamini? Serikali inalipa kea wakati pesa na haidaiwi sasa si mjiulize kama shida ni Samia au January au nani?
Men, kufagia uchafu wa Malaika wa Chato si Jambo rahisi kama mnavyodhani.