Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Usalama wa Taifa, vyombo vya ulinzi kuweni makini na matukio haya ya moto, yamepangwa kwa umakini mkubwa kuna uwezekano mkubwa matokeo yake yakawa haya hapa (ni mawazo yangu tu na sio lazima iwe kweli):
- kwasababu mabweni yanayoungua ni watu wa imani moja, upo uwezekano watu hao hao wataanza kuunguza mabweni ya imani nyingine na matokeo yake ni vita vya kidini (hivi huwa haviishi),
- watoto ambao wamepoteza vitu vyao na kujeruhiwa kisaikorojia ni rahisi kuwashawishi kuwa adui yao ni jamii flani na hivyo kuwarubuni kujiunga na makundi yenye mlengo wa kujikomboa "kutoka kwenye unyanyasaji" ambapo bila shaka adui wao wataambiwa ni kundi lile ambalo mabweni yao huwa "hayaguswi" na moto
- .................