Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

Usalama wa Taifa, vyombo vya ulinzi kuweni makini na matukio haya ya moto, yamepangwa kwa umakini mkubwa kuna uwezekano mkubwa matokeo yake yakawa haya hapa (ni mawazo yangu tu na sio lazima iwe kweli):
  • kwasababu mabweni yanayoungua ni watu wa imani moja, upo uwezekano watu hao hao wataanza kuunguza mabweni ya imani nyingine na matokeo yake ni vita vya kidini (hivi huwa haviishi),
  • watoto ambao wamepoteza vitu vyao na kujeruhiwa kisaikorojia ni rahisi kuwashawishi kuwa adui yao ni jamii flani na hivyo kuwarubuni kujiunga na makundi yenye mlengo wa kujikomboa "kutoka kwenye unyanyasaji" ambapo bila shaka adui wao wataambiwa ni kundi lile ambalo mabweni yao huwa "hayaguswi" na moto
  • .................
Serikali kama mliweza kuwaamulu wenye mabasi kufunga "speeder govenor" kwanini kila bweni katika nchi hii lazime liwe na fire detector amayo moja haifiki 20,000/= pia lazima kuwepo na kamera za ulinzi kama mmiliki washule hawezi funga shule!
51nb9cURXuL._AC_UL320_.jpg
 
Utawala huu umewafanya waislamu kuwa duni na wanyonge sana.
Kila siku shule za kiislamu ndio zinaungua tu, halafu Bakwata wako kimya kama hayahusu.

Kama kuna muislamu itaipigia CCM kura mwaka huu, basi peponi ataishia kupasikia, kamwe hatakwenda.
yani shule mchomeane wenyewe alafu mje kuilaumu ccm jamani yani mkeo akikataa usimchenjue unailaumu ccm magufuli mitano tena
 
Bweni linatumia umeme wa JUA lakini limeshika moto maana pengine tungesema ni short ya umeme
 
Utawala huu umewafanya waislamu kuwa duni na wanyonge sana.
Kila siku shule za kiislamu ndio zinaungua tu, halafu Bakwata wako kimya kama hayahusu.

Kama kuna muislamu itaipigia CCM kura mwaka huu, basi peponi ataishia kupasikia, kamwe hatakwenda.
Politics.
 
This is state terrorism, endapo hawatapata chanzo cha ajali hizi za moto na kushindwa kuwakamata wahusika.
 
Sijali umri wako ila nimekutukana matusi yote mabaya,kichwani mwako kumejaa a skimmed pooh, mnafiki na mfitinishi wapi umeambiwa hawafanyi uchunguzi, unaushahid wa upendeleo wowote w kidini nchini au mk#N unakuwasha unataka ukuni
Acha matusi...weka hoja zako..jiheshimu.
 
Mshaharibu threads hivi hamuwezi kujadili mada mpaka muingizie mambo ya kipuuzi.

Bado kuna wale wazee ambao kila kitu wanakitizama ktk mlengo wa kuproti sera za vyama vyao.
Huyo jamaa ana utahira kichwani, angalia kwenye quotes zake za mwanzo anavyotukana watu bila sababu

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
CCM na Serikali yao walikuwa fasta Sana kutoa matamko ya haraka na kwa ukali kuhusu studio ya S2KIZZY kuvamiwa na kuagiza polisi wapambane haraka
Ila hili naona Kama wanalichukulia kawaida tu, na siasa zao za kijamaa za Binadamu wote Ni sawa..damn
Sio hvyo upelelezi huwa hauitaji matamko subiri uone
 
Back
Top Bottom