Bye bye ios

Ahsante mkuu nilichukua redmi note 10
 
We jamaa una streaming services zote[emoji23][emoji23][emoji23] na e-commerce platforms mpaka Wish duh

Hahahhaa hatari sana

WISH mm nina Address US So nikinunua vitu vyangu, vinaenda hukoo!! Nina mtu ambaye anapokea,,
So zinapotimia kila 20 anatuma kwenye Meli kama ni vya kutumia meli with 30 days mm napata mizigo wangu.. mzigo wangu unakuwa marked as Gift so nalipakaga kama 50$ hadi kufika tanzania!

Hizoo stream service Yes mm sio mlevi boss,, huoo ndo ulevi wangu!![emoji3]
Na huwa nafanya connection with My Tv
 
Moja ya kitu wanachoboresha ni kutokula umeme,sawa nafaka!!!
Kwenye nguvu huko ni mtihani ndugu yangu.

Maana hata kanuni za fizikia ziko wazi,nguvu kubwa=nishati zaidi,na kinyume chake.

Ukiona masimu ya bei mbaya yanashindwa kuwekeza hapo kwenye MTK ujue kuna tatizo sehemu sio bure.

Hakuna simu isiyopungua speed baada ya kujaa,shida ni kwamba inapungua speed kwenye jambo gani!!!simu inakusubirisha mpaka ukitaka kupiga 100 **** countdown ya kurespond.kwahiyo tecno na inafinix zenu mnazosifia huku mmejaza picha hamuwatendei haki wataalam,ila wauzaji wa kkoo.
 
Mimi situmii tecno wal infinix hizo brand zimenipita kushoto.
Umeona processor za apple M1 chini ya ARM architecture, mbona ninpower efficiency na zimemdunda intel πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…?
Nilichosema ni kwamba, MTK sasa hivi zimeboreshwa na ndiyo maana utazikuta kwenye samsung za bei rahisi kaka A12, A02, A20 ambazo watumiaji wa kawaida ndizo wanamiliki simu abazo ni chini ya 500k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…