Bye bye ios

Bye bye ios

Naomba nikushauri kuna toleo la "Xiaomi" hizi cmu za wachina uhakika sana japo watu wengi hawajazijua simu ni kali kuanzia camera, storage na battery waranti ya uhakika ukipata muda fuatilia...ni ushuri tuu. Tukirudi kwenye machaguo yako Samsung ni bora kuliko kwa budget yako nakushauri uchkue A70,S9+ Galaxy au Note 8 bei inaweza ongezeka kidogo.
Ahsante mkuu nilichukua redmi note 10
 
We jamaa una streaming services zote[emoji23][emoji23][emoji23] na e-commerce platforms mpaka Wish duh

Hahahhaa hatari sana

WISH mm nina Address US So nikinunua vitu vyangu, vinaenda hukoo!! Nina mtu ambaye anapokea,,
So zinapotimia kila 20 anatuma kwenye Meli kama ni vya kutumia meli with 30 days mm napata mizigo wangu.. mzigo wangu unakuwa marked as Gift so nalipakaga kama 50$ hadi kufika tanzania!

Hizoo stream service Yes mm sio mlevi boss,, huoo ndo ulevi wangu!![emoji3]
Na huwa nafanya connection with My Tv
 
Unaongelea simu ya miaka 7 iliyopita mkuu, mengi yamebadilik. Teknolojia iko kasi sana.
Sikatai kwamba compared na socks nyingine bado ni inferior ila now zimeboreshwa ukilinganisha na za hapo nyuma zilikuwa takataka kweli.
Kwa mtumiaj wa kawaida wa simu anayejali tu jina la simu, anaweza nunua samsung A12 na asinotice chochote
Moja ya kitu wanachoboresha ni kutokula umeme,sawa nafaka!!!
Kwenye nguvu huko ni mtihani ndugu yangu.

Maana hata kanuni za fizikia ziko wazi,nguvu kubwa=nishati zaidi,na kinyume chake.

Ukiona masimu ya bei mbaya yanashindwa kuwekeza hapo kwenye MTK ujue kuna tatizo sehemu sio bure.

Hakuna simu isiyopungua speed baada ya kujaa,shida ni kwamba inapungua speed kwenye jambo gani!!!simu inakusubirisha mpaka ukitaka kupiga 100 **** countdown ya kurespond.kwahiyo tecno na inafinix zenu mnazosifia huku mmejaza picha hamuwatendei haki wataalam,ila wauzaji wa kkoo.
 
Mchina ni disaster,hii ni concept
Ila usishangae apple au samsung wakaidaka akizubaa,maana maumbo ya simu za iphone na samsung yanafika mwisho siku hizi.View attachment 1795225
20210523_151644.jpg
 
Moja ya kitu wanachoboresha ni kutokula umeme,sawa nafaka!!!
Kwenye nguvu huko ni mtihani ndugu yangu.

Maana hata kanuni za fizikia ziko wazi,nguvu kubwa=nishati zaidi,na kinyume chake.

Ukiona masimu ya bei mbaya yanashindwa kuwekeza hapo kwenye MTK ujue kuna tatizo sehemu sio bure.

Hakuna simu isiyopungua speed baada ya kujaa,shida ni kwamba inapungua speed kwenye jambo gani!!!simu inakusubirisha mpaka ukitaka kupiga 100 **** countdown ya kurespond.kwahiyo tecno na inafinix zenu mnazosifia huku mmejaza picha hamuwatendei haki wataalam,ila wauzaji wa kkoo.
Mimi situmii tecno wal infinix hizo brand zimenipita kushoto.
Umeona processor za apple M1 chini ya ARM architecture, mbona ninpower efficiency na zimemdunda intel 😅😅😅?
Nilichosema ni kwamba, MTK sasa hivi zimeboreshwa na ndiyo maana utazikuta kwenye samsung za bei rahisi kaka A12, A02, A20 ambazo watumiaji wa kawaida ndizo wanamiliki simu abazo ni chini ya 500k.
 
Back
Top Bottom