CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Tulielezwa kuwa mechi ya Yanga dhidi ya Pyramids itaoneshwa mubashara kupitia Azam Sports 2. Mbona mpaka sasa haioneshwi? Kuna tatizo gani?
 
Pyramids waache kupoteza muda na kupaki basi, maana wote wamerudi nyuma kudefend, yanga tunashinda hii mechi
 
Tuweke mambo sawa hiyo ilikua hatua ya makundi ambayo simba alipigwa 5,siyo hatua unaya ihangaikia wewe nabado akawabeba na nyie mkaonja utam wa kimataifa
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
[/Q
 
jamani hiyo link inauzwa sh ngapi? mbona wachoyo jamani
 
Back
Top Bottom