Mkuu Yanga kazi wanayo kuliko Simba,Al Ahly na Belozdad wana uwezo wa kupata points zote 3 wakicheza na Yanga halafu waje kutafuta point 1 hapa au 3 kabisa
Uliongea rahisi kwa mdomo ukidhani Yanga sisi ni warahisi
Belouizdad 0-4Yanga
TO THE QUARTER FINAL!πŸ’šπŸ’›
 
Kundi A watapita: Mamelody na Pyramid
Kundi B watapita: Wydad na Asec
Kundi C watapita: Experience na Atletico
Kundi D watapita: Al Ahly na Yanga

Mamelody na TP Mazembe [emoji736]
 
Kweli wewe ni Phd πŸ™ŒπŸ‘πŸ‘
 
Al Ahly na Belozdad washapita tayari kwenye kundi la Yanga,sasa sijui tuwasidiaje hao wwngine maana watapigwa nje ndani,hilo kundi naona Yanga atakuwa anashindana na huyo mwingine ili kujua nani underdog zaidi kati yao
Unaweza kuwa mjinga ila jitahidi kuficha watu wasijue
 
Yanga SC wana mtihani mkubwa na kama wakiuvuka wapewe mauwa yao .. CR Belouzidad & Al ahly (egypt) ni waarabu halisi.

Simba SC wapo kwenye kundi jepesi kimtazamo ila ni ngumu kwenye uhalisia..
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Naam wapewe maua yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…