CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Mkuu Yanga kazi wanayo kuliko Simba,Al Ahly na Belozdad wana uwezo wa kupata points zote 3 wakicheza na Yanga halafu waje kutafuta point 1 hapa au 3 kabisa
Uliongea rahisi kwa mdomo ukidhani Yanga sisi ni warahisi
Belouizdad 0-4Yanga
TO THE QUARTER FINAL!💚💛
 
Tuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.

Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
Kweli wewe ni Phd 🙌👏👏
 
Al Ahly na Belozdad washapita tayari kwenye kundi la Yanga,sasa sijui tuwasidiaje hao wwngine maana watapigwa nje ndani,hilo kundi naona Yanga atakuwa anashindana na huyo mwingine ili kujua nani underdog zaidi kati yao
Unaweza kuwa mjinga ila jitahidi kuficha watu wasijue
 
Yanga SC wana mtihani mkubwa na kama wakiuvuka wapewe mauwa yao .. CR Belouzidad & Al ahly (egypt) ni waarabu halisi.

Simba SC wapo kwenye kundi jepesi kimtazamo ila ni ngumu kwenye uhalisia..
🇹🇿
Naam wapewe maua yao
 
Back
Top Bottom