Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesKundi la Bingwa mtetezi USMA ni gumu sana [emoji3][emoji1]
Nenda youtube kaangalie namna ambavyo comment za wabongo zilivyojaakwanini mkuu?
Tunasubiria Champion League Saa 10.Mbna hutowei update sasa
Yes..Wabongo tuna changamsha sana soka la Africa, kwa vyovyote ni challenge kwa Caf kuangalia ni namna gani ya kufanya vilabu vyetu visonge mbele kwenye michuano ya Caf
Ni kweli mkuu serikali haijielewi ila wabongo tunapenda sana mpiraYes..
Serikali haitusupport sana kwenye viwanja. Angalia viwanja vyote vya CCM hali ni mbaya sana.
[QUOTE="Scars, post: 48025586, member: 427454"Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi..Mkuu, huo u PEKEE unakujaje hapo kwa Tanzania? Hapo ungeandika, TANZANIA, MISRI na TUNISIA ndizo nchi pekee zilizotoa TIMU MBILI MBILI! Ni historia, na sifa ya kipekee, ingawa tumeaibisha kule SHIRIKISHO, ambako tulifika fainali msimu uliopita!
Ndivyo itavyokuwaNatamani Simba tukutane na Jwanang..tuna kisasi nao
Wana akili ndogo na mihemkoWabongo wanafujo kwenye chat za channel ya CAF.
[QUOTE="Scars, post: 48025586, member: 427454"Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi..
Sawa mkuu; endelea kutupa updates. Tupo hapahapa tunasubiri.Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
Group B
- USMA
- Future
- SUPERSPORT
- Al HILAL
Group C
- ZAMALEK
- SaGRADA
- S.O.AR (GUI)
- ABU SALIM
Group D
- RIVERS UNITED
- CLUB AFRICAIN
- DREAMS FC
- APC LOBITO
- RS BERKANE
- DIABLES NOIRS (CGO)
- STADE MALIEN
- SEKHUKHUNE UNITED
Si maisha ya tabuNi kweli mkuu serikali haijielewi ila wabongo tunapenda sana mpira
Hata hii comment yako nayo ina mihemko, mimi nimeona mashabiki wote wa Simba na Yanga.Wana akili ndogo na mihemko
Hasa mashabik wa yanga wanafanya watanzania wote tuonekane hamnazo
Mods waweke huu uzi liveMkuu weka update kwenye front page kule