CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Kumbuka ile mechi ya mtoano ilikuwa ya kuamua nani aende nani abaki,wewe ukaaungukia shirikisho mwenzako akaenda makundi.

Kwenye makundi kuna kujiuliza na tunaangalia point na kuna nafasi ya kujirekebisha, ila mtoano hamna kujiuliza.
Huko kwenye makundi alikoenda alipigwa nje ndani na kila team yaani, kila team ilipata point 6 kwake kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa Simba Sc hata iwe mbovu. Maana yake ni nini..?

Maana yake ni kwamba Simba ndio alileta uzembe usioelezeka kwenye ile mechi, ni wazi kuwa kiwango cha Simba Sc kilikuwa hatua nyingi mbele ya Jwaneng.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hakuna tatizo kuhusu rotation

Nyinyi mnapotaka kujenga hoja kuwa USM Algier ambao mliwasubua ndio hao waliomfunga Al Ahly.

Kitu ambacho sio kweli kwasababu wachezaji waliocheza na nyie kwenye fainali 90% hawakuwepo kwenye mechi ya Super Cup
wewe jamaa kweli ni mbumbumbu rotation ya wachezaji watatu ni asilimia 90 kwako
IMG_20231006_225846.jpg
Screenshot_2023-10-06-22-57-34-036_com.sofascore.results.jpg
 
Huko kwenye makundi alikoenda alipigwa nje ndani na kila team yaani, kila team ilipata point 6 kwake kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa Simba Sc hata iwe mbovu. Maana yake ni nini..?

Maana yake ni kwamba Simba ndio alileta uzembe usioelezeka kwenye ile mechi, ni wazi kuwa kiwango cha Simba Sc kilikuwa hatua nyingi mbele ya Jwaneng.
Pamoja na kupigwa nje ndani kwenye makundi ila ww alikupiga tena kwako....

Hapo ndipo unatakiwa humuheshim mpizani wako, kwenye mpira lolote linawezekana na hasa mpira wetu huu wa Africa,kwani wengi hatujuani,hapo ulipo hujui Galaxy atakuja vp,kwa mfumo upi na kwa aina ipi ya wachezaji.

Hamna cha kusema Simba alikuwa Mzembe,bali Galaxy alikiwa bora siku ile kuliko ww. Unawaona wale Asec Mimosa ni moja ya timu za Africa,zinazo invest sana kwenye Soccer la vijana washauza wachezaji wengi sana kwenye club kubwa za ulaya,hujui vijana wapya waliokuwa nao wana uwezo gani,hujui mfumo wao na hujui style yao ya mpira.

Jifunzeni kumuheshim mpinzani wako,juzi tu hapo kwenye kufuzu kuingia makundi, umestrugle dk 45 shot on target 1,goli nazani uliliona.
 
Mkuu Yanga kazi wanayo kuliko Simba,Al Ahly na Belozdad wana uwezo wa kupata points zote 3 wakicheza na Yanga halafu waje kutafuta point 1 hapa au 3 kabisa
 
Mechi ya Jwaneng Galaxy Dar ile ilikuwa hype tu simba alifanya uzembe kwa kulinda aggregate,mwisho wa siku wamepigwa magoli mawili ya fasta ndani ya mda mfupi
 
wewe jamaa kweli ni mbumbumbu rotation ya wachezaji watatu ni asilimia 90 kwakoView attachment 2774048View attachment 2774049
Wewe uliye waona watatu msaidie mwenzako aliyewakna wawili.

Mkimalizana nakuja kuwaonesha hao wawili waliobaki
Wewe watano unawaona vipi ,kwenye mechi ya Al Ahly walio anza first eleven ,wachezaji wapya walikuwa wawili hao watano ww umewatoa wapi.
Round ya kwanza kwa Mkapa kikosi kilikuwa hivi.
View attachment 2773896
Round ya pili.
View attachment 2773897
Kikosi hiki.

Mechi na Al Ahly
View attachment 2773898
Yaani tunapigana kamba mpaka kwenye vitu vinavyo onekana.

Au kuna wengine mnawaona hao wachezaji watano ,mimi nawaona wawili ambacho kwenye mpira ni kitu cha kawaida kuna majeruhi, kadi za njano mbili.
 
Yanga SC wana mtihani mkubwa na kama wakiuvuka wapewe mauwa yao .. CR Belouzidad & Al ahly (egypt) ni waarabu halisi.

Simba SC wapo kwenye kundi jepesi kimtazamo ila ni ngumu kwenye uhalisia..
🇹🇿
 
Mechi ya Jwaneng Galaxy Dar ile ilikuwa hype tu simba alifanya uzembe kwa kulinda aggregate,mwisho wa siku wamepigwa magoli mawili ya fasta ndani ya mda mfupi
Jifunze kumuheshim mpinzani wako.
 
Mkuu Yanga kazi wanayo kuliko Simba,Al Ahly na Belozdad wana uwezo wa kupata points zote 3 wakicheza na Yanga halafu waje kutafuta point 1 hapa au 3 kabisa
Mkuu, mpira una maajabu yake! Tukumbuke Simba ilipokuwa kundi moja na Aly Ahly na AS Vita, walimpiga TANO TANO. Lakini alivuka na kuingia robo. Huyo Vita aliyemfunga Simba 5 huko kwao, akabaki. Ni hesabu tu zinaweza kuwabeba Yanga.
 
Hesebu hazidanganyi, timu zote za kutoka pot 1 na 2 kuingia robo fainali ni asilimia 70 na inayobaki kwa timu za pot 3 na 4..
Ukweli usemwe tu.
 
Back
Top Bottom