CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

Tanzania ifungwe ili viongozi wamlaumu huyo mama Yao maana wanatukosea sana
 
Sawa shabiki wa Baltazar
 
Ikitokea imefuzu tutakupeleka kwa Baltazary.
 
CAF hawawezi kuiminya taifa stars,ila Stars wataangushwa na kiwango chao,timu ikishinda sifa anapewa mwanasiasa ni bora afungwe tu kesho.
 
Mmh ata bila Caf hili li timu halitoboi, kuwafunga ethiopia wabovu zaid yetu tume pata li kichwa tayari
 
Mkuu, Balthazar anatokea Equatorial Guinea
 
Tuwe makini wasije wakatu baltasary kesho pale taifa 🤣🤣🤣🤣
 
HatA mimi nilikuwepo kwenye press yao walizugumzia pia kuwa hawawezi kukubali Yanga Africans waingie Robo kwA Team mvovu kama ile iliyofungwa na Tabora miguu ya Bajaj wakamaliza na swala la kuhama Uwanja wamewaambia wametoa maagizo kwa Tff wawaruhusu kutumia uwanja wA Kaunda pale jangwani ili kuepusha usumbufu kwa mashabiki wake.
 
Kumbuka mbumbumbu yupo mashindano ya akina mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…