mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Uwanja wa Amani ulindwe kwa nguvu zote.Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Viongozi wenu wa Simba SC wanajua kwasababu wao walipendekeza wiwanja viwili ili kimojawapo kikiwa na dosori kitumike kingineWataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Una bundle ana unatumiaaa kiswaswadu hujaona majibu ya CAF Ile sio BODI ya ligi mkuuWataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Na JANA WAMEWAJIBU BARUA YAOOUwanja utakaofanyika mchezo wa mkondo wa pili wa kombe la mbuzi (CAFCC) baina ya mikia (simba sc) dhidi ya berkane (the orange nation) ulitangazwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Africa mapema kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa nchini Morocco kuwa ni NEW AMAAN COMPLEX visiwani Zanzibar,hili lilikuja baada ya CAF kuufungia uwanja wa B.W.M kutokana na kutokidhi vigezo vya kuandaa mechi kubwa chini ya shirikisho hilo.
Aisee!Una bundle ana unatumiaaa kiswaswadu hujaona majibu ya CAF Ile sio BODI ya ligi mkuu
Somaahioooooooooooooooooooooo
Huku ni kulazimishana kuosoma nambaUwanja utakaofanyika mchezo wa mkondo wa pili wa kombe la mbuzi (CAFCC) baina ya mikia (simba sc) dhidi ya berkane (the orange nation) ulitangazwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Africa mapema kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa nchini Morocco kuwa ni NEW AMAAN COMPLEX visiwani Zanzibar,hili lilikuja baada ya CAF kuufungia uwanja wa B.W.M kutokana na kutokidhi vigezo vya kuandaa mechi kubwa chini ya shirikisho hilo.
Kafara ni nini?Uwanja wa Amani ulindwe kwa nguvu zote.
Wasije wakauchoma kwa mikafara yao kama kule South Africa.
Kafara ni nini?