Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Kwahio kwa definition yako hii uliyoikopi na kupaste hapa, Simba sports club wanatoa kafara ipi na kwa nani? Leta na udhibitisho wa picha na video haswa za rohoni kuonyesha walitoa kafara flan kwa flan kati ya uliowataja hapo. ..
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.Kwahio kwa definition yako hii uliyoikopi na kupaste hapa, Simba sports club wanatoa kafara ipi na kwa nani? Leta na udhibitisho wa picha na video haswa za rohoni kuonyesha walitoa kafara flan kwa flan kati ya uliowataja hapo. ..
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
View attachment 3338943
We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema ..umesema Simba wanatoa kafara,, Nimekuuliza definition ya kafara umenijibu...nmekuuliza leta udhibitisho wa picha na video kua walitoa kafara kwa flan kwa flan kulingana na definition yako ya kafaraSi bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
View attachment 3338943
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
View attachment 3338943
Kwa mkapaWataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.Uwanja wa Amani ulindwe kwa nguvu zote.
Wasije wakauchoma kwa mikafara yao kama kule South Africa.
Eeh bhana eee!!
Mbona CAF walishasema kuwa utatumika uwanja wa Amaan Zanzibar, kama hamkubaliani bali msipeleke timu uwanjaniWataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Na halizaooooWatani mkapambane sasa
Acheni ushirikina.We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.
kama vp HATUCHEZIWataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa
CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar
Tunatokaje hapa?
ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?
😁😁😁😁😁
Si waupaishe angani basi😄😄Mechi ni Zanzibar
Tatizo uchawi hauvuki bahari
Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.Acheni ushirikina.
Chezeni mpia
La ushirikina South Africa umelikubali?Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.
Kwani wasauz sio washirikina? Ulifatilia orlando pirates ya msimu huu??La ushirikina South Africa umelikubali?
Two wrongs don't make a right.Kwani wasauz sio washirikina? Ulifatilia orlando pirates ya msimu huu??
Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.La ushirikina South Africa umelikubali?