CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

Two wrongs don't make a right.

Orlando kufanya ushirikina hakufanyi ushirikina wa Simba uwe jambo zuri.
Nyie yanga ndio washirikina waandamizi kwenye mpira wa bongo ndio maana kwenye kila mechi ya derby huwa mnapitia mlango wa nyuma, najua utasema mnafanya hivyo ili kutegua ushirikina wa simba lakini hata ikiwa ninyi ndio mko nyumbani na ndio wenyeji wa mchezo bado mnapitia mlango wa nyuma, sasa kwa kuwa ninyi hadi leo mnaamini katika ushirikina basi mnadhani hadi simba nao bado wanaendeleza ushirikina simba washatoka huko ingekuwa ushirikina unasaidia hivyo basi wangekuwa washabeba kombe lolote la caf hadi sasa
 
Haijulikani kivipi wakati washasema mbugi inapigwa kisiwandui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…