CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

Vigezo na ubora vinatokana na nini wakati miaka 25 hawajaingia hata robo? Una ubora halafu miaka 25 hujanusa robo?
Upuuzi kutoka kwa mpuuzi... Watu wanajadili Kwanini Simba ndio timu pekee iliyo katika Hilo Bonanza na haina kikombe cha CAF ukilinganisha na timu zingine zinazoshiriki!!
 
Nimejibu aliyequote na siyo mtoa mada,acha kukata mauno hapa
 
Back
Top Bottom