adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Taja timu inayoizidi ubora Simba ukanda huu wa Africa Mashariki.Tunazungumzia Vigezo na Ubora...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja timu inayoizidi ubora Simba ukanda huu wa Africa Mashariki.Tunazungumzia Vigezo na Ubora...
Mkuu achana na mimiUmapokuwa mzoefu kukatia mauno mabwana zako unadhani sote tuko sawa na wewe?
Ukileta shit kwangu nazo Kama 1B utaoga... Alaah 😀Mkuu achana na mimi
Endelea kila mtu siyo wa kumvaa nitakutoa rohoUkileta shit kwangu nazo Kama 1B utaoga... Alaah [emoji3]
Labda unikatie bibuno 😀Endelea kila mtu siyo wa kumvaa nitakutoa roho
Utapata majibu endelea kuwa bingwa wa keyboardLabda unikatie bibuno [emoji3]
Ila unajua kuwa ni timu ambayo ilikuwa haikosagi kwenye makundiUtawala wa enyimba umeisha miaka ishirini iliyopita.
Enyimba ana utawala gani akusanye points decade hii
Unanitafuta au nikwambie location uje nikupasue uende kwa mkapa Domo limekuvimba eti😀Utapata majibu endelea kuwa bingwa wa keyboard
Ila unajua kuwa ni timu ambayo ilikuwa haikosagi kwenye makundi
Hoja ni huo ubora na ukubwa mnaojisemea kuwa mnao Afrika!! Kumbe mmepata kutoka na ukanda?Mbona mnateseka hivi.? Walioanzisha mashindano ni CAF na ndio watoaji wa pesa Kwa timu shiriki. Walisema kabisa kwamba watazingatia records za timu shiriki katika michuano ya CAF Kwa miaka mitano iliyopita. Haya tuseme Simba anaondolewa, ukanda huu Kuna timu gani nyingine? Tunasahau kwamba timu inayopiguwa kelele kwamba ni Bora imechukua miaka zaidi ya 20 bila kuingia hata makundi? Simba hajachukua kikombe Cha Afrika, ni sawa. Timu gani ya Afrika mashariki imebeba kikombe Cha CAF? Mbona haya ni maswali mepesi TU? Sasa hivi mnaliita bonanza na wakati Kuna waziri alitumwa akaombe na Yanga pia ijumuishwe kwenye vilabu vya AFL? Shida ni nini hasa? Mbona siku hizi watu hawajadili mpira nchini mwetu? Tumekuwa na mihemko inayotuondoa kwenye uhalisia. Tukiwasikiliza wale wachaMBUZI basi tunatoka tumebeba maneno ya hovyo na kushindwa kutafakari vizuri. Tuzungumze mpira Kwa akili na utashi unaoleta mwangaza Kwa wengine.
Akikujibu nitag 😀Ilikuwa
Niambia mara ya mwisho enyimba amefika makundi mwaka gani ?
Kwenye decade hii ( miaka 10 mfululizo ) elezea performance ya enyimba hatua alizoishia kila msimu
Itakuwa ndugu yangu umeanza kufatilia mpira juzi mbona walicheza 2020 au ulikuwa hufatilii 🤣🤣Ilikuwa
Niambia mara ya mwisho enyimba amefika makundi mwaka gani ?
Kwenye decade hii ( miaka 10 mfululizo ) elezea performance ya enyimba hatua alizoishia kila msimu
Mkuu, hivi ranks za caf unazipitia? Au ukubwa wa clubs barani Afrika unakuwa determined na mashabiki mitaani?Hoja ni huo ubora na ukubwa mnaojisemea kuwa mnao Afrika!! Kumbe mmepata kutoka na ukanda?
2020 enyimba alicheza ligi ya mabingwa mkuu au kipindi hiko ulikuwa unasoma badoAkikujibu nitag 😀
Itakuwa ndugu yangu umeanza kufatilia mpira juzi mbona walicheza 2020 au ulikuwa hufatilii 🤣🤣
2020 enyimba alicheza ligi ya mabingwa mkuu au kipindi hiko ulikuwa unasoma bado
Niweke wazi nini mkuu wew si umesema enyimba ajacheza makundi ana miaka 10 au unakataa hoja yakoMbona maelezo unatoa juu juu
Weka maelezo yaliyonyooka.
Nimekuuliza miaka 10 mfululizo.
Sema mwaka 2023 enyimba kafika hatua fulani mashindano ya caf champions league.
Rudi tena mwaka 2021 enyimba kafika hatua fulani..
Sio juu juu.
Maana hata huo mwaka 2020 umeficha kusema ni mashindano gani alifika makundi kati ya shirikisho ama ligi ya mabingwa..
Weka wazi
Niweke wazi nini mkuu wew si umesema enyimba ajacheza makundi ana miaka 10 au unakataa hoja yako