Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enyimba ana historia kubwa sana. Ameshiriki champions league mara nane na confederation mara tatu. Jumla mara Kumi na moja katika mashindano ya CAF huku akichukua ubingwa, kufika nusu fainali na robo fainali mara kadhaa.
Ni sawa, ila amecheza semi final confederation 2018, 2021 na 2021 amefika quarter finals confederation.Sijakataa. Ubingwa wake wa mwisho alichukua miaka 20 iliyopita.
Kwa miaka hii.. yaani miaka 10 iliyopita. Enyimba kacheza hatua ya makundi caf champions league mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.
Baada ya hapo kwa miaka 7 mfululizo enyimba hajawai kucheza hatua ya makundi ya caf champions league.
Kwa kigezo alichosema mdau cha kuangalia ubora wa timu miaka mitano mfululizo iliyopita.. enyimba hana ubora wowote
Timu bora gani kwa miaka 10 mfulizo imegusa makundi mara 1 tu. Halafu useme ni mashindano ya timu bora
Ukubwa it's about vikombe na sio performance ya muda mfupi!!, Enyimba yupo namba ngapi kwenye hzo rank?.Mkuu, hivi ranks za caf unazipitia? Au ukubwa wa clubs barani Afrika unakuwa determined na mashabiki mitaani?
Hivi ndugu yangu, tutumie logic nyepesi TU, vilabu vyote Bora ulaya vimewahi shinda uefa champions league? Mbona wenzetu timu kufika makundi TU mara kadhaa ni achievement kubwa? Sisi tuna dharau kwakuwa TU timu fulani tunazo zishahabikia hazipo. Na sababu ni wazi, hazipo Kwa sababu Kwa miaka mitano iliyopita hazikuwa bora kulinganisha na zilizoingia AFL.Ukubwa it's about vikombe na sio performance ya muda mfupi!!, Enyimba yupo namba ngapi kwenye hzo rank?.
Kwa mfano kama mwaka wa sita huu yoyote ingekuwa imeshuka daraja ingechaguliwa?Ni ranks za CAF kwa miaka 5 iliyopita, Ushiriki wa mashindano ya CAF pamoja na idadi ya mashabiki.
Na vikombe unavipataje kama huna perfomance nzuri??Ukubwa it's about vikombe na sio performance ya muda mfupi!!, Enyimba yupo namba ngapi kwenye hzo rank?.
Kwani bado huu mjadala upo? Ni rahisi tuu aingie google aulize atapata jibu...Waulize kina OKW BOBAN SUNZU na Kalpana
Halafu wabishi sana kuelewa kuna mwingine hapa ni mbishi sanaKwani bado huu mjadala upo? Ni rahisi tuu aingie google aulize atapata jibu...
8 Giants clubs...
Only 8 Giants clubs....
Kauli mbiu yetu kwa sasa ni #Hii haiwahusu#Halafu wabishi sana kuelewa kuna mwingine hapa ni mbishi sana
Naunga mkono hoja 👍👏Kauli mbiu yetu kwa sasa ni #Hii haiwahusu#
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hata tukikupa vigezo hizo timu zitabadilishwa? Haya mashindano yamepangwa muda mrefu wakati timu yako ilikuwa inasuasua kimataifa.
Hivi unafuatilia mpira kweli? 2020 Enyimba kacheza makundi???Niweke wazi nini mkuu wew si umesema enyimba ajacheza makundi ana miaka 10 au unakataa hoja yako
Weka ya shirikisho piaHivi unafuatilia mpira kweli? 2020 Enyimba kacheza makundi???
Acha UONGO mkuu
Magroup ya caf 2020 yote hayo hapo chini tuoneshe Enyimba hapo👇
Hivi una nyege auDuuh ila watu hata data una umeshupaza kichwa kwa ubishi🤣🤣🤣