KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
- Thread starter
- #81
Yaani at least kwa miaka ya hivi karibuni Wangesema Rivers kidogo ingeingia akilini.Sijakataa. Ubingwa wake wa mwisho alichukua miaka 20 iliyopita.
Kwa miaka hii.. yaani miaka 10 iliyopita. Enyimba kacheza hatua ya makundi caf champions league mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.
Baada ya hapo kwa miaka 7 mfululizo enyimba hajawai kucheza hatua ya makundi ya caf champions league.
Kwa kigezo alichosema mdau cha kuangalia ubora wa timu miaka mitano mfululizo iliyopita.. enyimba hana ubora wowote
Timu bora gani kwa miaka 10 mfulizo imegusa makundi mara 1 tu. Halafu useme ni mashindano ya timu bora
Haya mashindano ni bonanza