CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

Sijakataa. Ubingwa wake wa mwisho alichukua miaka 20 iliyopita.

Kwa miaka hii.. yaani miaka 10 iliyopita. Enyimba kacheza hatua ya makundi caf champions league mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.

Baada ya hapo kwa miaka 7 mfululizo enyimba hajawai kucheza hatua ya makundi ya caf champions league.

Kwa kigezo alichosema mdau cha kuangalia ubora wa timu miaka mitano mfululizo iliyopita.. enyimba hana ubora wowote

Timu bora gani kwa miaka 10 mfulizo imegusa makundi mara 1 tu. Halafu useme ni mashindano ya timu bora
Yaani at least kwa miaka ya hivi karibuni Wangesema Rivers kidogo ingeingia akilini.
Haya mashindano ni bonanza
 
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
CAF ni watu wa dili tu kama akina karia...
 
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Labdah waliangalia timu zinazofanya vizuri kwa ukanda na pia ndani ya miaka ya karibuni zilikuwa vema kwenye CCL
 
Vigezo lazima uwe umeshampa kichapo hasimu wako kwa goli zisizopungua 6-0 au 5-0.

Kama hivi👇

images.jpeg
 
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Wewe ulitumia vigezo Gani kuwa na huyo michuano yao hata angetaka kumpa Ihefu shida nini
 
Mwaka 2020 enyimba alitolewa hatua ya awali ya ligi ya mabingwa africa.. hakufika makundi ya ligi ya mabingwa

Unatudanganya
Sasa wewe (Yanga) unaejiona bora na kuona kwamba ulistahili kuweko badala ya Simba Sc, hiyo miaka (1998-2022) ulikuwa unaishia hatua gani CAFCL.?

Kama Enyimba hastahili kwakua alikuwa akiishia hatua za awali, inakuwaje wewe ustahili ikiwa ulikuwa unaishia hatua za awali kwa miaka 25.?

Hebu tujadili taratibu.
 
Back
Top Bottom