CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

Attachments

  • Screenshot_20231017-145859.jpg
    Screenshot_20231017-145859.jpg
    72.8 KB · Views: 2
Ni ranks za CAF kwa miaka 5 iliyopita, Ushiriki wa mashindano ya CAF pamoja na idadi ya mashabiki.
Ni aidha hawaelewi au wanajitoa akili tu.Wanadhani timu inapata nafasi kwa ujingaujinga wa siku mbili tu.Timu zilizoonesha umahiri kwa zaidi ya miaka sita wanataka wawe sawa na walioibukia uvunguni siku mbili zilizopita.
 
Tuambieni enyimba miaka mitano hiyo ama sita iliyopita performance yake ilikuaje
 
2020 na 2021 alicheza Hadi robo fainali shirikisho. 2020 alicheza raundi ya kwanza champions league

Kwa hiyo raundi ya kwanza champions league ni performance nzuri ya kukupa points za kwenye super league

Robo fainali ya shirikisho nayo ni kigezo cha super league ?
 
Fuatilia alikusanya point ngapi na alifikia viwango vipi?
Enyimba ana historia kubwa sana. Ameshiriki champions league mara nane na confederation mara tatu. Jumla mara Kumi na moja katika mashindano ya CAF huku akichukua ubingwa, kufika nusu fainali na robo fainali mara kadhaa.
 
Usitaje vitu jumlajumla tu.Basi Asante Kotoko angekuwepo.Si kuhusu historia?
 
Back
Top Bottom