CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
naona akili zako zimerudi kisogoni,unadhani TP Mazembe ni wachovu kiasi cha kumwachia mwarabu au Ibenge ni kichaa afungwe kirahisi kisa ameshasonga mbele?punguza umbea utasutwa wewe
 
Narudia tena, ushabiki wa kuamini fitna, bahasha na ushirikina ni Ushabiki wa Kizamani na Kishamba.

Haya sio mashindano ya Ndondo Cup.
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Asante kwa utabiri wako..
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Naona Kolo tayari umeshaona furusa hiyo. Wenzako Yanga hawayajui mambo hayo.

Halafu pia ungeanza kuishauri TFF iangazie ligi yetu hasa zile penalty tata zinazotolewa kwa Simba
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Hivi akili zenu huwa mbazitumiaje? Unashindwa kujua kwamba TP Mazembe akindinda Ijumaa anakuwa wa 2 kabla ya Mechi ya Hilal Vs Yanga Jumapili?
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Huyu naye atakuwa baba au mama wa familia. Ndiyo maana familia zinakosa mwelekeo.
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Mi nadhani tuanzie hapa nyumbani Kwa tifutifu kuangalia zile penati za mchongo kwanza
 
Yanga wanashinda mechi zote mbili vizuri tu hao wakina Ibenge mechi zote na Yanga anafanya kuzuia na kufunga kwa counter tu hakuna kitu anacho zaidi ya kucheza mpira mwingi wa kujilinda sasa hivi naona beki zote za Yanga zipo kamili hao Al Hilal wanakufa vizuri tu huko visiwani...
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.

Hili kundi jinsi lilivyo sasa, timu tatu zina nafasi ya kusonga kama zitashinda mechi 2 zilizosalia...
 
Back
Top Bottom