CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

Ndio mnakuja kushtuka huyu ni baba ana watoto na mke anasubiri jioni. Familia haijua baba yao anaamini majungu, ushirikina na unafiki
 
Hahaahaa....Ile ya Hilal na Uto ,MC ALGERS Waliicheza siku moja baada ya game yao na Hilal na matokeo ni ama anakufa au pate Sare...Wao MC ALGERS wanaamini Uto hawezi kuwafunga 3-0 lupaso
 
Habarini wakuu,

Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga

Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Masindano fc hili liwahusu
 
Back
Top Bottom