Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kolo acha unaaHabarini wakuu,
Mechi kati ya Mc alger vs Tp mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
naona akili zako zimerudi kisogoni,unadhani TP Mazembe ni wachovu kiasi cha kumwachia mwarabu au Ibenge ni kichaa afungwe kirahisi kisa ameshasonga mbele?punguza umbea utasutwa weweHabarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Na ndizo mtakazokomea .Yaani hapo tuna points 4 tu lakini tayari viroho vinawadunda. Lol.
Na bado.
Kama ni hivyo mbona mnahaha sasa.Na ndizo mtakazokomea .
Asante kwa utabiri wako..Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Naona Kolo tayari umeshaona furusa hiyo. Wenzako Yanga hawayajui mambo hayo.Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Hivi akili zenu huwa mbazitumiaje? Unashindwa kujua kwamba TP Mazembe akindinda Ijumaa anakuwa wa 2 kabla ya Mechi ya Hilal Vs Yanga Jumapili?Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Huyu naye atakuwa baba au mama wa familia. Ndiyo maana familia zinakosa mwelekeo.Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Makolo bado mnateseka na YangaHabarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Mi nadhani tuanzie hapa nyumbani Kwa tifutifu kuangalia zile penati za mchongo kwanzaHabarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi Caf waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Habarini wakuu,