Hahaahaa....Ile ya Hilal na Uto ,MC ALGERS Waliicheza siku moja baada ya game yao na Hilal na matokeo ni ama anakufa au pate Sare...Wao MC ALGERS wanaamini Uto hawezi kuwafunga 3-0 lupaso
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.