CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

Kipigo kwa Berkane kipo popote pale, atake anapigwa, hataki anapigwa hata huko huko Zanzibar
 
Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
 
Usikute watanzania wamewekeana figisu ili mechi iende Zanzibar maana hapa kwetu wako watalaam wa kiarabu kweli kweli
Zanzibar si sehemu ya Muungano? Bado ni nyumbani, tusianze kutafuta sababu.
 
Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
 
Nitajie option ya kiwanja kingine kizuri kwa Tz?Labda mpeleke mechi kwa Kagame au Museveni.
 
Ni kweli mkuu, amani ilikuwa option namba mbili ndio maana caf wamewaambia straight kuwa waende znz
 
Dah! Watu walishafukia mbuzi wao kitambo! Inakuwaje wakafukuliwe na kuhamishiwa Zanzibar? Na muda wenyewe wa kufanya hivyo hata hautoshi!

Hapa dawa pekee iliyobaki ni kususia tu kucheza hiyo mechi yao. Sisi simba hatutaki kabisa kuonewa na mtu.
Simba timu kubwa sio kama nyie Hatuchezi fc!
 
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa Gsm.
 
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa Gsm.
 
Aibu sana.
Mashabiki wa bara wa Simba ambao ni wengi wananyimwa life time chance ya kuona timu yao ikibeba kombe sababu tu ya ubinafsi wa waliopewa dhamana kusimamia uwanja
 
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa Gsm
 
Hiyo mechi ikipigwa zenji basi uwezekano wa simba kuwa bingwa unapungua kwa asilimia 36%
 
Kama unajua unajua hata mechi ipelekwe wapi,Madrid msimu huu kapigwa nne Santiago Bernabeu na Barcelona,ikapelekwa Saudi Arabia Madrid kaa tano wakaenda kucheza uwanja wa Sevilla fainal ya Copa Del Rey wakala tatu mbili na Barca akampiga mara nne mfululizo. Tatizo mpira wa Africa watu wana mila na desturi zao watu hawa jiamini.
 
Pole sana,nayaona machungu uliyonayo moyoni mwako.
 
Aibu sana.
Mashabiki wa bara wa Simba ambao ni wengi wananyimwa life time chance ya kuona timu yao ikibeba kombe sababu tu ya ubinafsi wa waliopewa dhamana kusimamia uwanja
Wa kuwajibishwa ni wengi. Timu haiwezi kupoteza uenyeji wa fainali ya CAF kizembezembe. Ninaamini ikifika Jumatatu hili litakuwa limetenguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…