mwamgogwaferdinand
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 697
- 938
Wapumbavu hawaHizo pesa zimewekezwa kwny nn?ukienda kutembelea chamazi ule uwekezaji hamna klab yeyote iliyofanya africa mashariki. Hizi takwimu nyingine ni vichekesho sana
Kwanini unabisha?
Umeviona vitabu vya mahesabu vya Simba?
Simba inaizidi nini azam fc kwa ule uwekezaji simba ni zaidi ya Clab de protivo de angora au zamaleck[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3]
Mamelodi Sundowns
Orlando Pirates
TP Mazembe
Safi point mkuu sisi watu wa simba na yanga timu zetu zimeshindwa hata kujenga tuviwanja kama wa mwadui complex Leo tuseme zinautajiriUtajiri sio vitabu kaka, utajiri ni uwekezaji katika miradi na huduma.Simba yetu inafanya vizuri uwanjani lakini si tajiri. Haishiki hata nafasi ya 100 Afrika
Upo wa mazoezi kule Bunju
Duh kumbe yupo Azam hapa hapa aiseeSimba inaizidi nini azam fc kwa ule uwekezaji simba ni zaidi ya Clab de protivo de angora au zamaleck[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Arifu unazingua ujue! achaga hizo mambo
Ndo simba hii onayofungwa mpaka magoli 5 au.?
Tangu lini CAF wakatoa list ya club tajiri? Acheni kuamini kila story mnayosikia.Mimi sijaviona,Walioviona wamesema hivyo na wewe ukibisha tafuta uvione.
Me sikubali wala sikatai,wewe unabisha tuu kwa maneno hata balance sheet zao huzijui na wala hujui wametumia vigezo gani?!Tayar uneshathibitisha umbumbu wako tayar, klabu ya tano kwa utajiri hata kiwanja Cha mazoezi hakuna, basi Kama ni kwel vilabu vya afrika vina Hali mbaya Sana kiuchumi aisee, kwa mwendo huu mpira wa Africa hautokaa ukue hata siku moja, ndio maana Hadi kwenye kombe la dunia Kila siku tunawasindikiza wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yanga ni ya ngapi hapo?Tangu lini CAF wakatoa list ya club tajiri? Acheni kuamini kila story mnayosikia.
Simba bado safari ni ndefu. hapo hata Yanga bado hamjamfikia.
Mheshimiwa hii ni karne ya 21 2019,utajiri sio vitu vya kuhamishika,jina tuu linatosha yani tshirt tu ikiwekwa nembo ya Simba imeshaongezewa thamani club inachukua chao,kuna njia nyingi club zinatengeneza pesa sio tuu kwenye vitu unavyofikiria.Utajiri wa club haupatikani vitabuni wala kwenye benki akaunti. Utajiri ni vitu vinavyoonekana. Miradi, miundo mbinu na huduma
Kwani hiyo list ipo wapi?Kwani yanga ni ya ngapi hapo?
Nieleweshe basi na unitupie data za simba na yanga za utajiri wao maana me sielewi na magazeti yana ushabiki pia.Kwani hiyo list ipo wapi?
Google website ya CAF au publication (official) yeyote ya CAF uiweke hapa hiyo list. Siyo unaamini magazeti ya kufungia vitumbua.
Mimi najua Yanga ina hela kuliko Simba.
Hapo hamna haja ya kueleweshwa, wewe ziangalie hizi timu zinamiliki nini. Fananisha club ya Jangwani na jengo la club Msimbazi.Nieleweshe basi na unitupie data za simba na yanga za utajiri wao maana me sielewi na magazeti yana ushabiki pia.
Mbona unaleta story za vijiweni za flani ana hela lakini hamjawahi ona ata document yoyote ya umiliki?!Hapo hamna haja ya kueleweshwa, wewe ziangalie hizi timu zinamiliki nini. Fananisha club ya Jangwani na jengo la club Msimbazi.
Halafu pia usisahau yanga ina Plot ya maana pale Mafia street (prime area).
Simba wana nini? Achana na mambo ya list.