CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Hapo hamna haja ya kueleweshwa, wewe ziangalie hizi timu zinamiliki nini. Fananisha club ya Jangwani na jengo la club Msimbazi.
Halafu pia usisahau yanga ina Plot ya maana pale Mafia street (prime area).
Simba wana nini? Achana na mambo ya list.
Simba ina majengo mawili kariakoo hivi thamani ya jengo likiwa kariakoo sawa na jengo lililopo jangwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua wanavuta pesa ngapi kwenye haya mashindano ?
 
Sasa hiyo namba tano wameitoa wapi?

Hapa ndio naielewa ile kauli ya Rage. Aiseeee. Yaani mtu anajipinda kuandika kwa habari za Insta lol.
afuu huu ujinga umezagaa kwenye magrouo ya whatsapp hadi kero[emoji16][emoji16][emoji16] na watu wanachekelea tu. Yaani wanashindwa hata kujiuliza tu hata uwanja wa mazoez hamna tunakuaje matajiri? Mchezaj wa thamani kubwa havuki M250
 
Wanaochekelea si ndio hao Mambumbumbu Mkuu.
 
Simba sio serikali ni sports club, haina mambo mengi ni sports tuuuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…