Kuna mwenzio mhasibu aliyasema yanayofanana na haya kwenye usajili wa Aziz Ki. Tunza hii ije ikutie aibu.


CC: OKW BOBAN SUNZU
 
KwaNI hatujawafunga Home/away Shirikisho na tukaongoza kundi
sasaivi Tp mazembe wamejiimarisha sio kama ile mliyokutana nao shirikisho acheni kuishi kwa kukariri mtapigwa mfe,

Hili sio shirikisho ni Champions League na wenzenu hawajaweka Top of the table kwa bahati mbaya Walikuwa Pot 1 ikimaanisha hata kwa points wamewapita na kimafanikio wamewapita.
 
ilikuwa lini na lilikuwa kombe gani na baada ya hapo nani alifika nusu fainali Klabu bingwa ? Na mpaka sasa nani yupo juu ya mwenzake kwenye Ranking ?
Hivi haya maswali yako yanafuta matokeo ya Yanga na TP Mazembe kwenye mechi nilizokuwekea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…