Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Umetumia msamiati wa kibiblia (kuponywa )

Mponyaji ni YESU na YESU KRISTO ndo kiama, ukiona leo Dunia imefika mwisho bas ujue YESU KRISTO kaja kuuhukumu huu ulimwengu

Balikiwa sana mtumish mwana jangwani
Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
 
Huku tunaongea kuhusu timu za club bingwa, Simba tulieni hadi tuanze kuzungumzia mashindano ya akina mama.
Baada ya haya Makundi kupangwa, ndio tofauti ya Shirikisho na Club Bingwa inajidhihirisha.

Nakiri sasa Club Bingwa ni level ingine kabisa.
 
Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Inawezekana kabisa hizi ni figisu.

Haiwezekani kundi gumu liwe ni la yanga tu.
 
Yanga vs Al Hilal 2-1
MC Alger vs Yanga 2-1
TP Mazembe vs Yanga 2-1
Yanga vs TP Mazembe 1-1
Al Hilal vs Yanga 2-1
Yanga vs MC Alger 2-0
To continue with this Dream press 0.
To resume to normal press 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…