Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Umetumia msamiati wa kibiblia (kuponywa )Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Mponyaji ni YESU na YESU KRISTO ndo kiama, ukiona leo Dunia imefika mwisho bas ujue YESU KRISTO kaja kuuhukumu huu ulimwengu
Balikiwa sana mtumish mwana jangwani
Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.