Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Simba ni Bingwa wa nini?Simba bingwa
Yanga kazi anayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni Bingwa wa nini?Simba bingwa
Yanga kazi anayo
😀😀😀😆😆🤣🤣🤣 Na bichwa lake kama amevaa capelo.
Nimeshangaa sanaIvi Petro de Luanda ya Angola haiko kokote apo maan ilikuwa fire last season
Wivu huo ...kwakuwa mmeaona Simba anaenda kutwaa ubingwa wa Confederation ehhh...Vilema wenzenu wauen tu
Woga umewaingia Uto maana wameona Simba anaenda kubeba UbingwaHakuna vilema hapo jombaa.
Simba bingwaSimba bingwa
Yanga kazi anayo
Timu mbovu zipo shirikishoVip Hersi kashaenda kuomba matimu mabovu?
Ubingwa wa ku draw na Coastal Union mbovuSimba bingwa
Shirikisho Afrika na NBC.....Simba ni Bingwa wa nini?
Hawataamini hawa UtoWoga umewaingia Uto maana wameona Simba anaenda kubeba Ubingwa
Simba kila siku anacheza na Rs berkane na hao matahira wengine n haambùi jata nusu final. Huwaga mmelogwa huko ukoloni au kun kitu kimekatikia baada ya mshenyeto?Wivu huo ...kwakuwa mmeaona Simba anaenda kutwaa ubingwa wa Confederation ehhh...
Tuliza tako chini msimu huu ujionee Ubaya Ubwela.....Sawa!!!Simba kila siku anacheza na Rs berkane na hao matahira wengine n haambùi jata nusu final. Huwaga mmelogwa huko ukoloni au kun kitu kimekatikia baada ya mshenyeto?
Ubingwa huo muutolee wapi?
Otoron'gong'o kujifariji fc kutakuua hama mzeeTuliza tako chini msimu huu ujionee Ubaya Ubwela.....Sawa!!!
Wenyewe wameshaona dalili....Hawataamini hawa Uto