kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live Updates...
View: https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk
CAF CONFEDERATION CUP GROUPS
CLUB BINGWA AFRIKA MAKUNDI 2024/2025.
CAF: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepanga Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, #Yanga ikiwa Kundi A pamoja na TP Mazembe (DRC), Al Hilal SC (Sudan) na MC Alger (Algeria)
Michezo ya Hatua hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 26, 2024, Yanga ikiikaribisha Al Hilal wakati TP Mazembe itakipiga dhidi ya MC Alger
Michezo inayofuata kwa Yanga ni dhidi ya MC Alger (Desemba 6, 2024, ugenini), TP Mazembe (Desemba 13, 2024, ugenini), TP Mazembe (Januari 3, 2025, nyumbani), Al Hilal (Januari 10, 2025, ugenini), MC Alger (Januari 17, 2025, nyumbani)