Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Wakaze vinginevyo watabaki kumlaumu GSM Kwa kudhamini timu sita maana ndo kisingizio Chao.Kazeni budi, draw hiyo sio ya Dodoma jiji, kuna waarabu 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakaze vinginevyo watabaki kumlaumu GSM Kwa kudhamini timu sita maana ndo kisingizio Chao.Kazeni budi, draw hiyo sio ya Dodoma jiji, kuna waarabu 2.
Poa mkuuuWameenda lunch kidogo mpaka saa nane mkuu
Ok mkuu bado dakika chache.Saa Nane kamili.
Simba anahitaji kupambana aiseee..
Sio rahisi Sana mkuu, juhudi inahitajika hapa.Tumepata kazi rahisi sana sana
Robo fainali tulishaizoea, tunahitaji zaidi ya hapo.Hapo Simba anaenda robo fainali na mwarabu mmoja. Huyo Bravos nadhani safari yake imeishia hapo.
Aiseee Simba tuache kupiga hesabu za mfukoni, mpira mchezo wa kikatili mno.Hivi robo hua ni A vs C, B vs D?
Au kuna draw pia, maana najiona nusu finali tayari...