Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja imekubaliwaSimba Bingwa
Ngoja kwanza tuone kitakachotokea na mtani.
Kuendelea na hii Ndoto press 9.Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.
Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.
Kundi la kifo hili! Sioni kama kuna mnyonge hapa. Yanga lazima ikaze msuli. Yale magoli ya akina Dube wanayokosa kizembe, hapa siyo sehemu yake.Group A
TP MAZEMBE
YANGA
MC ALGER
AL HILAL
Kwa stage ha Simba iliyofikia hata kama haijajipata lakini sio kwa aina ya mechi hizoWakuu bado kikosi chetu hakijajipata asilimia zote, bado kuna mlima mbeleni angalieni vizuri.
Kumbukeni tunahitaji kuvuka zaidi ya robo, hapo pia kwa timu yetu hii kibarua kipo
This is overconfidence....Kwa stage ha Simba iliyofikia hata kama haijajipata lakini sio kwa aina ya mechi hizo
Mnyonge yupo mbona mi namuons hapoKundi la kifo hili! Sioni kama kuna mnyonge hapa. Yanga lazima ikaze msuli. Yale magoli ya akina Dube wanayokosa kizembe, hapa siyo sehemu yake.
Dah! Maniema Union ndiyo umeumaliza mwendo.GROUP B
MAMELODI
AS FAR
RAJA
MANIEMA UNION
Angalau wewe umeuona motoKundi la kifo hili! Sioni kama kuna mnyonge hapa. Yanga lazima ikaze msuli. Yale magoli ya akina Dube wanayokosa kizembe, hapa siyo sehemu yake.
Yanga angewekwa kwenye hili kundi, uhakika wa robo fainali ungekuwa ni 99%GROUP C
AHLY
BELOUIZDAD
ORLANDO PIRATES
STADE D ABIDJAN
Kuendelea na hii Ndoto press 9.
Kurudi Normal Press 1
Huyu Mlingala atapigwa tena nje ndani .....Yanga wanafikiri Mazembe ni Pamba
Hapo alipo uhakika wa robo fainali ni asilimia ngapi?Yanga angewekwa kwenye hili kundi, uhakika wa robo fainali ungekuwa ni 99%
Hapo Yanga na MAZEMBE ndio wanapita.View attachment 3117801
Uto atajiamini sana hapa na hatoboi.
Maniema kweli mwendo ameumaliza maana kila timu inatamani kupata point kwake kiufupi kila game kwao itakuwa ni fainali.Dah! Maniema Union ndiyo umeumaliza mwendo.
Ni 75% kwa mtazamo wangu.Hapo alipo uhakika wa robo fainali ni asilimia ngapi?