CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
CAF Champions League Group

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€:
  • TP Mazembe ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
  • Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
  • Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ
  • MC Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐:
  • Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
  • Raja Club Athletic ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
  • AS FAR ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
  • AS Maniema ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚:
  • Al Ahly SC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
  • CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
  • Orlando Pirates ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
  • Stade dโ€™Abidjan ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ:
  • ES Tunis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ
  • Pyramids FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
  • GD Segrada Esperance ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด
  • Djoliba AC ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ

#TotalEnergiesCAFCL

CAF Confederation Cup Group

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€:
  • Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
  • CS Sfaxien ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ
  • CS Constantine ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
  • FC Bravos do Maquis ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐:
  • RS Berkane ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
  • Stade Malien ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
  • Stellenbosch ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
  • CD Luanda ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚:
  • USM Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
  • ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
  • ASC Jaraaf ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
  • Orapa United ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ

๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ:
  • Zamalek SC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
  • Al Masry ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
  • Enyimba FC ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ
  • Black Bulls ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ

#TotalEnergiesCAFCC
 
Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.

Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe sheikh yahya, kiufupi wewe na okwi boban mmekuwa ni fungu la kukosa kwenye tabiri zenu zote, ulitabiri msimu uliopita kwamba yanga ataburuza mkia kwenye kundi lake la Ahly ahly, belouzdad na medeama, ukasema ndio ulikuwa mwisho wake but yanga alikuziba mdomo ukatokomea kusikojulikana, Leo hii unaleta Tena utabiri wako wa kindezi ndezi,,kwa akili yako tu ya kawaida hapo Kuna timu Gani ya kumtisha yanga mpaka akose ata sare?
Ebu itaje iyo timu hapa ili tuitunze risiti yako vizuri!
 
Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.

Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watacheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.

Mnazisumbuaga timu maskini zisizo na experience.
 
Yanga ana nafasi kubwa ya kuongoza kund A, uwezo wa Yanga kimataifa uleimarika maradufu, wachezaji wake wengi wanayajua haya mashindano vyema.. Team zote za kundi A hazina huo uzoefu wa karibuni, mshindani kwa Yanga atakuwa Mazembe tu.
 
Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.

Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.
Vipi nyie mnaojitaga Majayantiiiii mshatoboa, maana Magori kuna kipindi anahojiwa na Azam kipindi cha michezo cha Asubuhi, alisema malengo yenu ya msimu huu ni kuingia fainali shirikisho. So kabla hujawapa angalizo Yanga,ungeanza na kiongozi wa club yaok,maana yy mwenyewe kajipa asilimia zote.
 
Back
Top Bottom