Karibu mkuu. Ngoja tusubiri maoni ya wadauNachojua mimi Wanasasiasa ni watu waongo na wazandiki sijawahi ona.
Lakini jibu ni jepesi sana,sababu wao sasa hivi ni viongozi wakuu. Hawaguswi hata kwa yaliyopita.
Msumeno huu mbona haukat huku na huku...?
Naendelea kusoma maoni ya wadau.
Usikimbie Chura wewe.Hiyo Ripoti ya CAG hebu ilete tuipakue humu halafu mjadala mkali uanze nione kama Mataga watatia nyuso zao humu.
Dolomeo naliogopa kama ukoma.Usikimbie Chura wewe.
Na kama upo bar weekend hii uwe makini wasikuwekee Ugoro ukalala siku saba kijana wa mama Samia.
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaaVipi wanandugu semeni chochote kuhusu CAG
Wahuni kama wewe tuuBunge lenyewe CCM kwahiyo wanalindana ndani
Daaah wewe si ulikua shabiki na chawa mkubwa wa jiwe leo unamkana.Tatizo mnajistukia sana
CAG anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?..
Tatizo mnajistukia sana
CAG anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?....
Ulishamsikia Mama kipindi cha Jiwe akisimama akitoa tamko lolote linalohusu hiyo miradi?Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Sababu Tanzania na Serikali ilikuwa ni ya Magufuli.Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Hivi ukitazama tu wajihi wake unamuona ni mtu wa aina gani??CAG kunasehemu anaogopa kugusa
Kwenye Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuna "editing".Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Mtoto wetu unakiranga sana, kwenye audit kuna samples sasa audit sample zote zimedondokea ofisi ile sababu ya mahela makubwa makubwa.Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.