CAG Acha kitete sema ukweli

CAG Acha kitete sema ukweli

Nachojua mimi Wanasasiasa ni watu waongo na wazandiki sijawahi ona.

Lakini jibu ni jepesi sana,sababu wao sasa hivi ni viongozi wakuu. Hawaguswi hata kwa yaliyopita.

Msumeno huu mbona haukat huku na huku...?

Naendelea kusoma maoni ya wadau.
Karibu mkuu. Ngoja tusubiri maoni ya wadau
 
Hiyo Ripoti ya CAG hebu ilete tuipakue humu halafu mjadala mkali uanze nione kama Mataga watatia nyuso zao humu.
Usikimbie Chura wewe.
Na kama upo bar weekend hii uwe makini wasikuwekee Ugoro ukalala siku saba kijana wa mama Samia.
 
Vipi wanandugu semeni chochote kuhusu CAG
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa
Lazima mtage mwaka huu
Wahuni nyie
Unateseka ukiwa wap??
Wezi nyie
Wahuni
Tulie kimya majambaz wakubwa
 
Tatizo mnajistukia sana

CAG anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?..
Daaah wewe si ulikua shabiki na chawa mkubwa wa jiwe leo unamkana.

Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo.

Asilia tumerud nyie Mataga lazima tuwanyooshe
 
Njia ya mwongo fupi

CAG anakaribia kuingia kisutu
 
Tatizo mnajistukia sana

CAG anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?....

👆👆👆 Ama kweli! Mwingine huyu kashamkana mwendazake! 😂🤣😂
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Ulishamsikia Mama kipindi cha Jiwe akisimama akitoa tamko lolote linalohusu hiyo miradi?
 
Hivi CAG ni kiongozi au mtumishi? nadhani anajielewa sana huyu kuliko mtangulizi wake bwana Asad.

African leaders are like ghosts.
 
Tulieni yajayo yanafurahisha ,hivi ni nani angeweza kutoa chalenji wakati wa Bwana Yule ? Hata ungekuwa wewe ndio makamo au waziri Mkuu au mkuu wa idara za usalama au wa jeshi au polisi.

Bwana yule sasa yuko kusiko julikana kimazingira kunajulikana kijina tu peponi au motoni na sifa za huko kedekede ila kiuhalisia hakuna aliekwenda huko akarudi na mastori ,ni kusikojulikana huko.

Sasa aliepo na waliopo mkiwa pamoja na nyinyi mlielewe hilo,tujipange upya tuendako nako hakujulikani ila tuna weza kujipanga na kujipangia ili kule tuendako nako tuwe na imajinari picha,kunafurahisha.
 
Mara nyingi au mara zote masuala ya accountability huwaathiri maafisa masuruli (accounting officers) wa Wizara/Taasisi.

Makamu wa Rais na Waziri wa fedha siyo accounting officers ndiyo maana siyo rahisi kuwakuta na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha. Rais ni accounting officer wa fedha za nchi nzima.

Waziri anaweza akaingia tu pale anapolazimisha matumizi kwa ushahidi wa maandishi kama Dr Hamis Kigwangala alipokuwa Waziri wa Utalii kwenye tamasha la urithi wetu la mwaka 2019. Kama mnakumbuka vizuri kulikuwa na KUTOKUELEWANA kati Katibu Mkuu Utalii wa wakati huo Prof Mkenda dhidi ya Waziri wake mpaka Mwendazake akaingilia kati. Prof Mkenda alikuwa anakataa kufanya matumizi ambayo yako nje ya bajeti.

Pili Mama Samia na Dr Mpango mbali ya vyeo vyao hawakuwa watu wenye madaraja au ya ku commit expenditure au kushauri namna Serikali iende vipi. Dotto James Katibu Mkuu wa Hazina alikuwa na madaraja makubwa kuliko hawa wawili.
 
Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.

Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.

Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.

Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?

Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.

Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwenye Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuna "editing".
 
Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.

Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.

Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.

Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?

Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.

Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Mtoto wetu unakiranga sana, kwenye audit kuna samples sasa audit sample zote zimedondokea ofisi ile sababu ya mahela makubwa makubwa.

Wapo walimshauri humu jukwaani kuhamishia hizi ofisi za uwekezaji sijui Tamisemi kuna siku itabackfire akaona wanapiga zogo tuu.
 
Kipindi hicho makamu wa Rais alikua hana misuli...

Misuli yote alikua nayo Rais...
 
Back
Top Bottom