CAG Acha kitete sema ukweli

Jee umeiosoma report yote? Jee umewahi kusoma na reports zingine za nyuma?
 
Katika ripoti yake kuna mahali amegusia ofisi ya Rais Ikulu?
 
Ila CCM mnavyotifuana sisi wengine kwetu ni burdani tosha,sisi zetu kuni tu na popcorn zetu pembeni
 
Tatizo kubwa la jiwe ni kujiingiza moja kwa moja katika masuala ambayo walipaswa wafanye watu wa chini yake ndio maana zikiguswa sehemu zozote mataga wanafikiri mtu wao anashambuliwa.
Ulishamsikia Mama kipindi cha Jiwe akisimama akitoa tamko lolote linalohusu hiyo miradi?
 
Hilo ndio kosa kubwa la Hayati pamoja na Mengi mazuri aliyofanya
Tatizo kubwa la jiwe ni kujiingiza moja kwa moja katika masuala ambayo walipaswa wafanye watu wa chini yake ndio maana zikiguswa sehemu zozote mataga wanafikiri mtu wao anashambuliwa.
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Kazi ya makamu Wa Rais ni kufungua warsha,matamasha,kukata utepe nk ,ofisi y VP ahitaji fungu kubwa,sanasana mishahara na allowance.
 
SI-A-GI kaharibu hali ya hewa Lumumba!!
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Smart question
 
Hivi kuna mtu amesoma taarifa ya CAG hata Dibaji tu kati ya mtoa mada na wachangiaji wengine au tunachangia kwa kusimuliwa tu na watu wengine au kudokoa dokoa tu taarifa….CAG katika dibaji yake huwa anaandika …..kwa mwaka huu nimefanikiwa kukagua mashirika au idara au taasisi xxx. Kwa hiyo sio kwa mwaka anakagua mashirika/idara/taasisi zoote. Hivyo kama taasisi Fulani haipo basi itakuwepo ktk taarifa za miaka iliyopita au zijazo kulingana na plan na uhitaji.Nipo tayari kusahihishwa
 
Sawa mkuu lakini CAG analinda sehemu zake asije pigwa kichwa na mama
 
Usimsingizie Kikwete kuwa alikuwa na Busara. Utaenda motoni kumsingizia mtu jambo.
 
CAG anatumika kisiasa
Hata kama ni mnafiki, cha kujiuliza huo uozo palipo huo uozo ametunga au ni kweli kuna uozo ?

Tusitake kuhalilisha ujambazi kwa sababu eti wote ni wezi ? Heri tupate machache kuliko kutokupata yote..., na wale wengine watumie Siasa kufichukua mabaya ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…