Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu
Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.