CAG Acha kitete sema ukweli

CAG anacho sema ni kweli, lakini ukweli huo una unafiki ndani yake
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Kilichokuwa kinakufanya uogope kumkosoa MAGU ndio kilichofanya mama Samia akaogopa pia.
MAGU ukimkosoa unatafuta balaa
MAGU hakujua tofauti ya kukosolewa na kuchukiwa....ukimkosoa yeye anaona unamchukia
 
🤔🤔🤔 hivi ni kweli
 
MATAGA ni WAJINGA sana, hata mkitaka Rais Samia na Makamu wake Mpango wahusishwe, mtawashtaki kwa sheria ipi ikiwa Katiba inawapa KINGA! Watu walisema KINGA ifutwe, mkashupaza shingo kupinga mabadiliko.
Acheni kukaza mishipa ya 'makalio', mtavunja sindano acha iwaingie vyema.
 
sawa mkuu
 
Kilichokuwa kinakufanya uogope kumkosoa MAGU ndio kilichofanya mama Samia akaogopa pia.
MAGU ukimkosoa unatafuta balaa
MAGU hakujua tofauti ya kukosolewa na kuchukiwa....ukimkosoa yeye anaona unamchukia
Mimi nina cheo kama alichokuwa nacho mama samia??..mama samia alikuwa makamu wa raisi,alizunguka naye kwenye kampeni,halafu unatuambia alikuwa anamuogopa..mbona unaleta hoja za kitoto!!!???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…