Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #61
CAG anacho sema ni kweli, lakini ukweli huo una unafiki ndani yakeHata kama ni mnafiki, cha kujiuliza huo uozo palipo huo uozo ametunga au ni kweli kuna uozo ?
Tusitake kuhalilisha ujambazi kwa sababu eti wote ni wezi ? Heri tupate machache kuliko kutokupata yote..., na wale wengine watumie Siasa kufichukua mabaya ya wengine