CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

Ni vibaya sana kumhukumu mtu, wakati PAC na bunge hawajajibu hiyo hoja ya CAG. Tuwe na subira ili kupata majibu ya uhakika. Isije ikawa kama stori za tril 1.5 na mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka (Chadema M.p) alikuja kusema ukweli.
chagu wa malunde, report ya CAG ikishasomwa tu maana yake iko public. Why then unadhani imewekwa public? Ili tufanye nini?
 
Huyu ni mpigaji sana wachunguze upigaji wa bandari ya Kigoma. na wachunguze washauri au wapigaji walio karibu naye Mr. Tony aliyekuwa TAFFA na wengine
Tony Swai, funguka mkuu
 
chagu wa malunde, report ya CAG ikishasomwa tu maana yake iko public. Why then unadhani imewekwa public? Ili tufanye nini?
Kuwa public sio sababu ya kusema tayari kuna ufisadi. Subiri PAC watatoa majibu bungeni kujibu hizo hoja zilizoibuliwa. Hapo ndio tutajua kama ni kweli au sio kweli.
 
Hii nchi, wala tusilaumu kwa nini hatuna maendeleo na watu wanaishi kwa ufukara wa hali ya juu. Shida kubwa ni sisi wenyewe, tusiwatupie wengine lawama.
 
Wewe n .....KWELII ANAETUMIA CONDOM MOJA NA TATU WOTE N WAZINZI UJUI HILO
AMEKUTUMA MPE POLE YAAN ATUFIKI JULY WATU WANAPANDA LILE GARI LETU PENDWA LA KIJAN STY TUNED
 
Amjapandishwa mshaharaa nn
Deus k endeleeea kuwakaziaa HAOO washazoee slope za maishaaa
 

Usitutoe katika Mstari tafadhali na tutaanza Kufuatilia hiki ulichokileta hapa pale tu Kigwangala ' atakapotumbuliwa ' na Mteuwaji wake.
 
Ukiona nguvu kubwa inatumika kunyamazisha,Wapinzani,Vyombo vya habari,Bunge kuwa gizani ujue hapo kuna upigaji mkubwa unaendelea.

Alafu sera ya ufisadi ishawekwa pembeni ,kipaumbele chao ni kununua wapinzani,ili waonekane wanaungwa mkono,
Lakini angalia jinsi ufisadi ulivyoibuka kwa kasi kubwa,ripoti ya CAG imeainisha mpaka matumizi mabaya ya pesa huko CCM.
 
Mwacheni ndugu yangu naye apate chochote hili ni shamba la bibi unavuna kulingana na urefu wa kamba yako
 
Watalamu wa "procurement" kununua kwa single source sijui kama kuna shida, sijaona kama kuna ufisadi wowote uliolezwa umefanywa na TPA hapo labda mleta mada utupe maelezo zaidi.
 
Inaonekana wanaimani kali kama inavyosemekana kwamba mwisho wa dunia upo karibu sana hatuna zaidi ya miaka miwili hapa duniani ndiyo maana hawaogpi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…