Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mbarawa alipelekwa Maji kimkakati, miaka ilikuwa inakwenda na miradi ya maji ilikuwa haina muelekeo mzuri. Mzee aliyekuwa Maji akapelekwa mawasiliano.
Ilipangwa kimkakati sio kweli kwamba kulikuwa na mkwaruzano kati ya Mbarawa na Kakoko, ni kwamba Mzee ambaye yupo mawasiliano ambaye alipewa warning kule Morogoro kasi yake ni ndogo ukizingatia kuwa umri umesogea.