CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Duh...!.
P
 
Halafu nini kinafuata
 
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge![emoji23]
 
Muache Upumbavu Kujificha kwa Marehemu hakusaidii kitu
Amejipumzikia Acheni Chuki zakijinga
 
Biswalo alikuwa ibilisi kwenye umbo la binadamu. Alikuwa na roho mbaya mno.
 
Huyu CAG amejaa porojo nyingi sana na ripoti yake ni dondoo za wizi ambazo zinaripotiwa kimagumashi.

CAG ni mchunguzi ambaye anatakiwa akiwa na ushahidi wa kutosha ampe Dpp ili watu washitakiwe. Sasa hizi za Jaji Biswalo ndio nini? Anataka nani achunguze?
 
Mapungufu sio wizi; inaweza kuwa local environnment zilipelekea maamuzi yafanywe that way. Pia huyo mkandarasi ni taasisi ya serikali hivyo hela hatimaye inarudi huko huko serikalini. CAG sio mkamilifu anaweza asielewe undani wa jambo vizuri ndio maana riporti unapoisoma unatakiwa udigest sio kuimeza jinsi ilivyo.

Hapo hakuna wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…