CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

Mkuu si lazima kukomenti nje ya upeo wako hili suala
Kwa hiyo wewe umeona upeo wako mkubwa,
Kuna njia nyingi za kufanya manunuzi au matumizi hilo kwanza unapaswa kujua. Ndio upeo wako?? Na kila njia one faida zake na mapungufu yake. Sasa hapo inategemeana na mambo mengine, moja kitu kipo sokoni au hakipo, na kama kipo linapatikana lini na kwa Mashauri gani

Haya mwenye upeo mkubwa
 
ukikopa haupewi ela, unapewa document inaitwa IOU, hizi IOU znabaki kwenye central bank na unaweza kuzitumia kufanya transaction ambazo ni digital tu! you will never have cash by using an IOU unless mtu ajitolee kununua deni la taifa unampa hio IOU alafu yeye anakupa hizo cash

- tatizo lake ni kwamba in future utalipa kidogo kidogo kama kodi kutoka kwa wananchi, mfano samia juzi alikopa mara mbili jumla karibia trillion 1 ya tanzania, hizi pesa ztalipwa na kizazi cha mbele kabisa uko sio sisi, lakini we fikiria ivi, umekopa tuseme $500M ambazo ni trillion moja, baada ya miaka 20 au 30, hio $500M ni pesa ingine tafauti kabisa, Tsh haiwezi kwenda above the USD kwa sababu usd ndo inaaaminika dunia nzima so haiwezi tokea sku tsh ikawa kama world currency maaana yake lazima ife against the Tsh, by factor of how much sijui but 20 years is enough to double tsh against usd, na zote lazima zilipwe jumlisha interest
Mbona marekani na usd zake bado deni lake kubwa ni ana bonds china? Una kopwa kwa sababu una kopesheka na una collaterals sasa mengine mi si mchumi
 
Kwa hiyo wewe umeona upeo wako mkubwa,
Kuna njia nyingi za kufanya manunuzi au matumizi hilo kwanza unapaswa kujua. Ndio upeo wako?? Na kila njia one faida zake na mapungufu yake. Sasa hapo inategemeana na mambo mengine, moja kitu kipo sokoni au hakipo, na kama kipo linapatikana lini na kwa Mashauri gani

Haya mwenye upeo mkubwa
Itoshe kusema ww ni maamuma kwenye huu uwanda.. nenda kwenye mikutano ya ccm kacheze singeli hiyo ndio level yako.
Kifupi hata nikikuelewesha huwezi elewa
 
Kukopa kwa serikali ni hasara zaidi maana deni linakuwa kubwa siku hadi siku kwa biashara ya ndege sio kama ya dala dala usilnganishe na you tone ambazo ni pure private
Nitajie moja tuu ambayo haijawahi kukopa kwa shughuli za maendeleo...
 
kwan kukopa ni sifa? kuna tafauti 2 ama 3 za kukopa, mfano kuna mtu anakopa kukimbia kesi za maswali kama umepata wap hio pesa, kuna mwingne anakopa kujazilishia tu, in bussiness credits ni mpaka mda ambao productivity ipo low, sio sifa kama ya ile ofisi yenu
Kwa ninavyokuona hujawahi hata kuuza genge, ndiyo maana unaongea kama mkulima wa Bilinganya. Bajeti ya nchi yetu kwa sasa ni around 30 Trilioni sasa nikuulize unafahamu uwezo wetu wa makusanyo kwa mwaka??
 
Itoshe kusema ww ni maamuma kwenye huu uwanda.. nenda kwenye mikutano ya ccm kacheze singeli hiyo ndio level yako.
Kifupi hata nikikuelewesha huwezi elewa
Wewe ndio huwezi kuelewa kama nilicho andika hukielewi wewe nenda kaimbe taarabu
 
Profesa Assad ni habari nyingine, ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Alimsema Magufuli kununua ndege cash mbona simsikii akimsema Samia kwa kufanya kitu kile kile
 
sasa kama unajua haupati faida unatoa wap ela ya kulipa deni? na zile interests juu utalipaje?
Ndio hapo, kwanza walikuwa wafanye utafiti, jee Biashara hio inalipa? Kinachotokea sasa ni kwabebesha mzigo walipa kodi. Kama ni shirika tu na limechukua leasing na wameshindwa kulipa unalitaifisha. Lakini hivi sas hio haara wanayotia ATC tunabeba sis walipa kodi wewe na mimi
 
Biashara gan hio baada ya utafiti unapata inalipa nataka kuifanya na mm, mdogo wangu watu wanafanya biashara kwa miaka 10 ndo faida inaanza kutoka amnaga biashara ya namna hio
 
Ni chuki zako Binafsi kwa Prof Assad.

sasa chuki binafsi kivp, amesomea biashara? ameshawahi kufanya biashara? ana biashara yoyote ile inaojulikana? sasa unatoaje ushauri wa biashara na hizi factors zote huna? na cha ajabu ufipa nao wamo ndan, ivi mlilogwa na nan
 
Kwa ninavyokuona hujawahi hata kuuza genge, ndiyo maana unaongea kama mkulima wa Bilinganya. Bajeti ya nchi yetu kwa sasa ni around 30 Trilioni sasa nikuulize unafahamu uwezo wetu wa makusanyo kwa mwaka??

kwanza umenidharau sana mdogo wangu! mm kwa kawaida ni mfanya biashara karibia 20 yrs! nakushangaa wewe unaepokea ushauri kwa prof asaad ambae hana ana genge la mboga , hajasoma ata biashara na hana uelewa wowote wa biashara!

- Uwezo wa makusanyo sna taarifa rasmi maana hata makusanyo ya mwezi sifuatiliagi but i know tunakaribia $70B in gdp
 
sasa chuki binafsi kivp, amesomea biashara? ameshawahi kufanya biashara? ana biashara yoyote ile inaojulikana? sasa unatoaje ushauri wa biashara na hizi factors zote huna? na cha ajabu ufipa nao wamo ndan, ivi mlilogwa na nan
Aliposema ni Mjinga pekee ndio huwa ananunua kwa Cash, mbona alieleweka, ninyi mna chuki fulani kwa huyu mzee, aliwaexpose kuhusu 'upigaji' wa 1.5 trilion ndio Gubu na Nongwa dhidi ya Professa mcha Mungu.
 
Back
Top Bottom